Picha : RAIS SAMIA ATEMBELEA STUDIO ZA REDIO YA TBC TAIFA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Tuesday, December 21, 2021

Picha : RAIS SAMIA ATEMBELEA STUDIO ZA REDIO YA TBC TAIFARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu maendeleo ya uendeshaji wa Redio ya TBC Taifa kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TBC Dkt. Ayoub Rioba wakati alipotembelea katika Kituo hicho kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dachi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uendeshaji wa Vipindi mbalimbali vya Redio kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dachi wakati alipotembelea Kituo cha Redio cha TBC Taifa kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayoub Rioba.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages