RAIS SAMIA AMTEUA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX KUWA MBUNGE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nafasi 10 za Rais.

Dk. Stergomena amewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye alimaliza muda wake Agosti 2021.


Dk. Stergomena Lawrence TaxDownload/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments