MSANII MAARUFU JUMA MARCO AJITOKEZA KUELEZA KUHUSU UZUSHI AMEFARIKI DUNIA....AFUNGUKA KWA WIMBO ALIVYONUSURIKA KUFA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Friday, September 10, 2021

MSANII MAARUFU JUMA MARCO AJITOKEZA KUELEZA KUHUSU UZUSHI AMEFARIKI DUNIA....AFUNGUKA KWA WIMBO ALIVYONUSURIKA KUFA


Kwa mashabiki na wapenzi wa nyimbo za asili bila shaka watakuwa wamesikia taarifa za kuugua sana na wengine hata kusikia uzushi wa kuhusu kifo cha Msanii Maarufu wa Nyimbo za asili Juma Marco kutoka Kahama mkoani Shinyanga... Sasa leo Msanii Juma Marco ameamua kuwaeleza mashabiki na wadau mbalimbali juu ya afya yake. Kupitia wimbo wake alioupa jina la Uzushi amezungumzia jinsi alivyohaingaika kupigania uhai wake na sasa yupo salama.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages