Video : RISANDI LAIZER - NI YESU TU - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Saturday, August 7, 2021

Video : RISANDI LAIZER - NI YESU TU

 

Mwimbaji wa nyimbo za Injili  anayekuja kwa kasi kutoka jijini Arusha Risandi Laizer  anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa Ni Yesu tu. Ni wimbo mzuri na video kali... Pia unaweza kuwasiliana naye kwa simu namba 0766200459 au barua Pepe rlaizer.tz108@gmail.com   

Tazama video hii hapa 

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages