Mwimbaji wa nyimbo za Injili  anayekuja kwa kasi kutoka jijini Arusha Risandi Laizer ameachia wimbo mpya unaitwa Jina la Yesu. Ni wimbo mzuri na video kali... Pia unaweza kuwasiliana na Risandi Laizer kwa simu  0766200459 au barua Pepe rlaizer.tz108@gmail.com

Tazama video hapa