Breaking

Post Top Ad

https://refpasrasw.world/L?tag=d_1066073m_7669c_&site=1066073&ad=7669

Saturday, August 7, 2021

YANGA SC YACHANJWA VITATU NA EXPRESS FC YA UGANDA...YATUPWA NJE MICHUANO YA KAGAME


Klabu ya Yanga SC leo Jumamosi imekumbana na kichapo cha Magoli 3-1 kutoka kwa klabu ya Express FC ya Uganda.

Mchezo huo wa mwisho wa hatua ya makundi umepigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga ilihitaji ushindi ili kuingia hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.

Kwa matokeo hayo Yanga imetupwa nje ya michuano ya Kagame ikiwa imefanikiwa kupata alama 2 tu katika michezo mitatu Iliyocheza.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages