RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA NCHINI TANZANIA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, April 21, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA NCHINI TANZANIA

  Malunde       Wednesday, April 21, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang wakwanza kulia kutoka kwa Mhe. Rais, ambaye aliambatana na Viongozi wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post