VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI MAGUFULI CHATO- GEITA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, March 25, 2021

VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI MAGUFULI CHATO- GEITA

  Malunde       Thursday, March 25, 2021


Joseph, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa heshima zake za mwisho katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini
Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Sehemu ya ndugu wa karibu wa marehemu wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

PICHA NA IKULU
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post