MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK. MWINYI AENDELEA KUMWAGA SERA... HAYA NDIYO ALIYOYAZUNGUMZA LEO VIWANJA VYA SKULI YA KIWANI PEMBA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, October 21, 2020

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR DK. MWINYI AENDELEA KUMWAGA SERA... HAYA NDIYO ALIYOYAZUNGUMZA LEO VIWANJA VYA SKULI YA KIWANI PEMBA

  Malunde       Wednesday, October 21, 2020
Aliyoyazungumza Mgombea Urais wa CCM kwa tiketi ya CCM Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi kwenye Mwendelezo wa siku za mwisho mwisho kumalizia kunadi Sera kwa Wananchi. Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni umefanyika Viwanja Vya Skuli ya Kiwani, Pemba. Wazanzibar wamekubaliana na hawadanganyiki wala kubabaishwa na mtu yeyote yule, Kura Zote ni kwa CCM tu kwa Urais na ngazi za Uwakilishi zote.

#YajayoniNeematupu
#Mwinyi2020
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post