JPM KESHO KUTIKISA JIJI LA ARUSHA KAMPENI ZA LALA SALAMA

Aisee Chuga Shujaa ameshaingia Mjini hapo. Awamu ya 6 na ya Mwisho ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Zinaendelea kurindima na baada ya  Pwani, Tanga na Kilimanjaro Sasa Kesho Mitambo ya Ushindi inahamia Mji wa Kitalii na wa wajanja Arusha. Ni Kesho Alhamisi Oktoba 22, 2020 ataunguruma Mkoani Arusha. Arusha wote tunaenda na JPM, Kiongozi Mpole na Mchapakazi

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post