Breaking

Post Top Ad

Tuesday, October 20, 2020

JPM AUNGURUMA KOROGWE TANGA...HAYA NDIYO ALIYOYAZUNGUMZA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA KAMPENI

Tanga Kunani Kule? Tanga kuna Dkt John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa CCM ambaye Leo Jumanne Oktoba 20 ameendelea kunadi Sera na Ilani ya CCM Kwenye Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo Mkubwa kabisa wa Kampeni. Watanzania twende na Mzalendo, Mchapakazi, Mzalendo na Mlinzi wa Kweli wa Rasilimali zetu.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages