Home »
habari
» HALIMA MDEE APOTEZA JIMBO LA KAWE.ASKOFU GWAJIMA NDIYO MBUNGE SASA
HALIMA MDEE APOTEZA JIMBO LA KAWE.ASKOFU GWAJIMA NDIYO MBUNGE SASA
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee wa CHADEMA aliyepata kura 32,524.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa