Home »
habari
» GODBLESS LEMA APOTEZA JIMBO LA ARUSHA MJINI....MSHINDI NI MRISHO GAMBO
GODBLESS LEMA APOTEZA JIMBO LA ARUSHA MJINI....MSHINDI NI MRISHO GAMBO
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema CHADEMA aliyepata kura 46,489.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa