Jinsi mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe na nderemo alipowasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayarikwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo. PICHA NA IKULU
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako