TASWIRA ZA WANANCHI WA MAENEO MBALIMBALI WAKATI MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI AKIPITA KUELEKEA MKOANI KAGERA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, September 16, 2020

TASWIRA ZA WANANCHI WA MAENEO MBALIMBALI WAKATI MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI AKIPITA KUELEKEA MKOANI KAGERA

  Malunde       Wednesday, September 16, 2020


Taswira za wananchi wa maeneo mbalimbali wakati Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Tawala na Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea mkoani Kagera akitokea mkoa wa Geita tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo Jumanne Septemba 15, 2020. PICHA NA IKULUMgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu ya wananchi maeneo mbalimbali wakati
akielekea mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayari tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post