RPC BWIRE AONGOZA ASKARI POLISI IRINGA MAZOEZI YA UTAYARI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Juma Bwire (kulia mwenye Kofia) akiwaongoza vikosi vya Ulinzi na Usalama katika mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi).
 Askari wa majeshi mbalimbali ya Ulinzi na Usama wa Mkoa wa Iringa wakiwa kwenye mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post