HAMIS NGUNILA ARUDISHA FOMU KUWANIA UDIWANI KITANGILI KUPITIA CHADEMA


Mgombea Udiwani uchaguzi Mkuu mwaka 2020 kata ya Kitangili katika Manispaa ya Shinyanga Hamis Ngunila (CHADEMA) akirudisha Fomu kwa  Afisa Msimamizi wa Uchaguzi Rose Matunda (kulia) leo Jumanne Agosti 25,2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post