Mgombea Ubunge Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga katika uchaguzi Mkuu 2020, Ahmed Salum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumanne Agosti 25,2020 amerudisha Fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Solwa Hoja Mahiba (kushoto).
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako