MAMA SALMA KIKWETE ARUDISHA FOMU RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA


Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete leo Jumanne Agosti 25,2020 amerudisha Fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Mchinga kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mchinga Jomary Satura.
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete akirudisha Fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Mchinga kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mchinga Jomary Satura (kushoto).



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527