PROFESA JUMANNE MAGHEMBE ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MWANGA....MSHINDI NI ANANIA THADAYO | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, July 21, 2020

PROFESA JUMANNE MAGHEMBE ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MWANGA....MSHINDI NI ANANIA THADAYO

  Malunde       Tuesday, July 21, 2020

Waziri wa zamani wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Profesa Jumanne Maghembe ameshindwa katika kura za maoni za CCM kwa kupata kura 130 dhidi ya mshindi Anania Thadayo aliyepata kura 176
______
Matokeo:


1.Anania Tadayo  kura 176.
2.Jumanne Maghembe kura 130.
3.Shabib Mruma kura 56


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post