DAVID SILINDE ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA TUNDUMA.....MSHINDI NI ADEN MWAKYONDE | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, July 21, 2020

DAVID SILINDE ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA TUNDUMA.....MSHINDI NI ADEN MWAKYONDE

  Malunde       Tuesday, July 21, 2020
Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 118 huku Aden Mwakyonde akiibuka mshindi kwa kura 250 na Daines Sichalwe kura 20.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post