HARRISON MWAKYEMBE ASHIKA NAFASI YA TATU KURA ZA MAONI JIMBO LA KYELA....KINANASI ANG'AA


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameshindwa kura za maoni Jimbo la Kyela Mkoa wa Mbeya kwa kupata kura 252 dhid ya mshindi Ally Mlagila Kinanasi aliyepata  kura 502. 


Mshindi wa pili ni Hanta Albert Mwakifuna  amepata kura 288.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527