DAVID KAFULILA ASHINDWA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA KIGOMA KUSINI ....MSHINDI NI HASNA MWILIMA


Hasna Mwilima amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143.

Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila amepata kura 64.
_________
Matokeo


1.Hasna Mwilima: 273
2.Nashon Bidyanguze: 143
3.January Kizito: 117
4.David Kafulila: 64


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post