EZEKIEL MAIGE AKWAMA...IDD KASSIM AIBUKA MSHINDI KURA ZA MAONI JIMBO LA MSALALAIddi Kassim ameibuka mshindi uchaguzi kura za maoni Jimbo la Msalala mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 327, Ezekiel Maige aliyekuwa anatetea kiti chake amekuwa wa pili kwa kura 118 na wa tatu, Khatib Mgeja amepata kura 75.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post