JUMANNE KISHIMBA ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MAONI KAHAMA MJINI

Jumanne Kishimba aliyekuwa anatetea kiti chake ameibuka mshindi uchaguzi kura za maoni Jimbo la Kahama Mjini mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 234, Benjamini Ngaiwa amekuwa wa pili kwa kura 181 na wa tatu, James Lembeli amepata kura 54.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post