NEC YASUBIRI TANGAZO LA KUVUNJWA KWA BUNGE ILI IWEZE KUTANGAZA TAREHE RASMI YA UCHAGUZI MKUU | MALUNDE 1 BLOG

Friday, June 26, 2020

NEC YASUBIRI TANGAZO LA KUVUNJWA KWA BUNGE ILI IWEZE KUTANGAZA TAREHE RASMI YA UCHAGUZI MKUU

  Malunde       Friday, June 26, 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la serikali la kuvunjwa kwa bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu.

Mkurugenzi wa NEC, Dkt Wilson Mahera amesema hayo wakato akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha na kusema baada ya tangazo hilo tarehe itatangazwa.

Amesema Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kifungu 37(1) kinaielekeza tume kufanya uteuzi kwa wagombea nafasi ya urais, ubunge na udiwani.

Pia, amesema sheria hiyo kifungu cha 46(1) kinaelekeza kuwa tarehe ya uteuzi wa wagombea itatakiwa kutajwa ndani ya siku 60 hadi 90 kabla ya kutangazwa siku ya uchaguzi.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post