MBWANA SAMATTA AVUNJA REKODI KWA KUFUNGA GOLI MOJA MATATA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, March 1, 2020

MBWANA SAMATTA AVUNJA REKODI KWA KUFUNGA GOLI MOJA MATATA

  Malunde       Sunday, March 1, 2020

Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza kwenye Uwanja wa Wembley  kunako Dakika ya 41 wakati Aston Villa ikivaana na Manchester City katika fainali ya Kombe la Carabao.


Nahodha huyo  wa Tanzania ameanza katika kikosi cha kwanza cha Aston Villa na kazi yao ni moja tu.... kuhakikisha wanawazuia Manchester City kutetea ubingwa wake wa Kombe la Carabao.


Villa mara ya mwisho kutwaa ubingwa ilikuwa msimu wa 1995/96 .
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post