MANCHESTER CITY WATWAA UBINGWA WA CARABAO CUP KWA KUICHAPA ASTON VILLA 2-1


Dakika 90 za Mchezo  Kati ya Manchester City  na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley  zimemalizika ....Manchester City Wamebeba Ubingwa wa Carabao Cup kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Aston Villa 2-1.


Hata hivyo, Mtanzania Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuifunga goli Manchester City  na amekuwa mchezaji wa tano kutoka Bara la Afrika kufunga kwenye Kombe la Ligi, wengine ni Didier Drogba , Joseph-Désiré Job, Obafemi Martins na Yaya Touré.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post