TAARIFA MPYA KUTOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUTUMA MAOMBI | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, October 10, 2019

TAARIFA MPYA KUTOKA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUTUMA MAOMBI

  Malunde       Thursday, October 10, 2019

Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu-HESLB  imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao kwa mwaka 2019/2020.


Taarifa hiyo imewataka wanafunzi kuingia katika Akaunti zao na kisha kufanya marekebisho.

Mwisho wa kufanya marekebisho hayo ni October 15.

Kwa taarifa zaidi  <<INGIA HAPA>>

Au OLAS <<HAPA>>


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post