WATENDAJI WA KATA NCHI NZIMA WAITWA IKULU

Rais John Magufuli wa Tanzania ametoa mwaliko kwa Maofisa Watendaji wa Kata kutoka Halmashauri zote nchini humo kuhudhuria mkutano Septemba 2, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa Agosti 23, 2019 na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na kusainiwa na katibu mkuu wake, Joseph Nyamhanga imeeleza mkutano huo utafanyika katika viwanja vya Ikulu saa 2:00 asubuhi.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post