BABA MTAKATIFU FRANCIS AKUBALI OMBI LA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO KUSTAAFU...YUDA THADDEUS RUWAI'CHI KUCHUKUA NAFASI YA ASKOFU MKUU JIMBO LA DAR ES SALAAM


Baba Mtakatifu Francis amekubali ombi la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kustaafu rasmi nafasi yake ya Askofu Mkuu Jimbo la Dar es Salaam.


Nafasi hiyo  itachukuliwa na Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thaddeus Ruwai'chi kuendelea kuongoza Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post