ROTARY CLUB UDSM MLIMANI WAPATA RAIS MPYA DK HERI TUNGARAZA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, June 18, 2019

ROTARY CLUB UDSM MLIMANI WAPATA RAIS MPYA DK HERI TUNGARAZA

  Malunde       Tuesday, June 18, 2019


UONGOZI NI KUPOKEZANA VIJITI: Rais Mpya wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam, Dk Heri Tungaraza (kushoto) akiwa na Rais Mstaafu Lulu Tunu Kaaya (kulia) wakionyesha ishara ya upendo mara baada ya Bi. Catherine Njuguna wa Rotary Club Dar es Salaam Mikocheni (katikati) kumaliza zoezi la makabidhiano kumalizika.Rais Mpya wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam, Dk Heri Tungaraza (kushoto) akizungumza machache mara baada ya kutangazwa kuongoza kwa muda wa mwaka mmoja.
Rais Mstaafu wa Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam, Lulu Tunu Kaaya akizungumza wakati wa halfa ya kumsika Rais Mpya Dk Heri Tungaraza.
Mwanachana wa Rotary Club  Dar es Salaam Mikocheni, Bi. Catherine Njuguna wa Rotary Club Mikocheni (kushoto) akiongea na na Rais Mstaafu Lulu Tunu Kaaya (kulia).
Akivalishwa...
Rais Mstaafu wa Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam, Lulu Tunu Kaaya (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Wanachama wa Rotary Club UDSM Mlimani Prof. Abel Ishumi (kulia).
Wanachama wa Rotary Club UDSM Mlimani Prof. Abel Ishumi akitoa zawadi.
Wanachama wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam wakipata burudani.
Wanachama wa Rotary Club UDSM Mlimani Prof. Abel Ishumi (kushoto) na Edwin Mashayo (kulia).
Rais Mpya wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam, Dk Heri Tungaraza akimkabidhi zawadi Mwanachana Prof. David Mfinanga ikiwa ni heshima ya kuweza kuifanya club ya UDSM Mlimani kusonga mbele.
Mwanachana wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam Prof. David Mfinanga akitoa shukrani mara baada ya kukabidhiwa zawadi.
 Mwanachama wa Rotary Club Catherine Dar North Club akizungumza machache.
Mwanachama wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam Mona Mwakalinga.
Mwanachama wa  Rotary Club UDSM Mlimani jijini Dar es Salaam Adolpho Mascharenas akizungumza machache.
Wanachama wa Rotary Club UDSM Mlimani Prof. Abel Ishumi akitoa wosia kwa uongozi mpya.
Picha ya pamoja na Rais Mpya...Wanachama wakibadirisha mawazo.
Burudani ikiendelea...
Picha ya pamoja na rais Mpya.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post