WASHIRIKI WA KAMPENI YA M-PESA TUZO POINTS YA VIDACOM WAZAWADIWA


Meneja wa Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania (plc), Christina Murimi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/-mmoja wa washiriki wa kampeni ya M-Pesa Tuzo Points, Christian Myamba, fundi cherehani na mkazi wa Sinza, Dar es Salaam. Kupitia kampeni hii wateja 140 wa Vodacom walizawadiwa shilingi 25,000/-kila mmoja na baada ya kampeni kumalizika wateja 10 wa Vodacom nchi nzima watazawadiwa shilingi 500,000/-kila mmoja
Meneja wa Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania (PLC), Christina Murimi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/-mmoja wa washiriki wa kampeni ya M-Pesa Tuzo Points,Regina Mwampinga,mkazi wa Tegeta, Dar es Salaam. Kupitia kampeni hii wateja 140 wa Vodacom walizawadiwa shilingi 25,000/-kila mmoja na baada ya kampeni kumalizika wateja 10 wa Vodacom nchi nzima watazawadiwa shilingi 500,000/-kila mmoja.

Meneja wa Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania (plc), Christina Murimi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/-mmoja wa washiriki wa kampeni ya M-Pesa Tuzo Points, Christian Myamba, fundi cherahani na mkazi wa Sinza, Dar es Salaam. Kupitia kampeni hii wateja 140 wa Vodacom walizawadiwa shilingi 25,000/-kila mmoja na baada ya kampeni kumalizika wateja 10 wa Vodacom nchi nzima watazawadiwa shilingi 500,000/-kila mmoja.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye na Meneja mawasiliano na Matukio wa kampuni hiyo ,Christana Murimi (kulia) mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 500,000/- wakati wa hafla hiyo ilifanyika katika ofisi yake ya Vanessa Hair Beuaty Salon iliyopo Tabata Chama jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post