RC MONGELLA AJITOKEZA HADHARANI KUKOMEA SUALA LA USHOGA


Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella (kushoto) amefanya uzinduzi wa albamu ya Injili ya “Jerusalem Band” kutoka kanisa la EAGT Kiloleli chini ya Mchungaji Dkt. Jacob Mutashi, uliofanyika Novemba 11, 2018 katika ukumbi wa Belmont Fairmont Hotel
Jijini Mwanza.

Mongella ametumia fursa hiyo kusisitiza suala la maadili katika jamii na kukemea viashiria/ vitendo vya mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Tazama Video hapa chini

NaGeorge Binagi-GB Pazzo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527