KHERI JAMES AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI YA SIKU SABA KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA UVCCM NCHI NZIMA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, November 12, 2018

KHERI JAMES AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI YA SIKU SABA KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA UVCCM NCHI NZIMA

  Malunde       Monday, November 12, 2018

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chma Cha Mapinduzi Ndg Kheri Denis James akizungumza wakati akifungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chma Cha Mapinduzi Ndg Kheri Denis James akizungumza wakati akifungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mwenyekiti kufungua Semina hiyo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akitoa Ufafanuzi kuhusu lengo la Mafunzo haya.
Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Comred Peter Kasera akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri James akizungumza jambo na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Comred Hassan Bomboko katika Ufunguzi wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Idara wakifuatilia Katikati ni Comred Hassan Bomboko Mkuu wa Idara ya Uhamaishaji na Chipukizi,(Kulia)Comred Khamana Juma Simba Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Pamoja na Comred Nelson Lusekelo Mkuu wa Idara ya Uchumi na Uwezeshwaji.
Baadhi ya Watendaji waliohudhuria Semina wakifuatilia,
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Vijana wakifuatilia
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia semina

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri Denis James (kulia|) pamoja na Makamu Mwenyekiti Comred Thabia Mwita wakifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Comred Hassan Bomboko leo mara baada ya Ufunguzi waSemina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji)
Picha ya Pamoja ya Viongozi washiriki wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma. (Picha zote na Fahadi Siraji)

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post