Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri mkuu Mama Mary Majaliwa walipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam,Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na mmoja wa Masista wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam,Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia hiyo kufutia ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018.Wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Janeth Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia hiyo kufutia ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018.Wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam,Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Paroko msaidizi Padre Asis Mendonca mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.PICHA NA IKULU
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527