DC NACHINGWEA AFUNGA MAFUNZO YA JKT OPERESHENI MERERANI


Mkuu wa wilaya ya Nachingwea,Mheshimiwa Rukia Muwango akikagua gwaride kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Lindi wakati wa zoezi la Ufungaji wa Mafunzo ya awali ya JKT Operesheni Mererani, Nachingwea ambapo jumla ya vijana 853 wamehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi yaliyodumu kwa muda wa miezi mitatu. Mkuu huyo wa wilaya amewaasa vijana hao kukiishi kiapo cha utii, nidhamu na  kutumia ujuzi walioupata kuwa wabunifu na kujiajiri itakapobidi.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.