RAIS MAGUFULI AMETUMBUA NA KUFANYA UTEUZI ASUBUHI HII


Rais John Magufuli, amemteua Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Damas Ndumbaro, kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akichukua nafasi ya Suzan Kolimba, ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.