WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG SHINYANGA

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyokamuliwa  kutokana na mbegu za pamba wakati  alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha  JIELONG nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho, Gemin Shao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula  yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG, nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Wapili kushoto ni Meneja wa kiawanda hicho Gemin Shoo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sehemu ndogo ya shehena kubwa ya ndoo za mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba yakiwa  katika ghala la  kiwanda cha JIELONG kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikitembelea, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa kiwanda cha kukamua mafuta ya kula yanayotokana na mbegu cha JIELONG  baada ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga, Julai 14, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Theme images by rion819. Powered by Blogger.