Video Mpya : KEMA HEWA - UKIMWINakualika kutazama video mpya ya msanii Kema Hewa kutoka Ushetu Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Ukimwi. Video imetengenezwa Angel Studio na Director Maxexa.
Msanii Kema Hewa anapatikana kwa simu 0688034266

Tazama Ngoma hii hapa chini

Theme images by rion819. Powered by Blogger.