Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa' kutoka Kahama mkoani Shinyanga ametualika kusikiliza wimbo wake mpya,ameupa jina la UKIMWI...Usikilize hapa mtu wangu