Video : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - NG'WANA MANDUSELA

Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Kisima "Nyanda Majabala" inaitwa Ng'wanamandusela, Imetengenezwa Makula Studio.Ni wimbo unaohusu mikasa inayotokea katika familia,wimbo unaohusu baba aliyeamua kufanya mapenzi na mkwe wake( mke wa mtoto wake).

Tazama hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.