Video: GAFIDI MBITIMLONGA - NTEMI WISE.. KILIO CHA WAFUGAJI KWA RAIS MAGUFULI


Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Gafidi Mbitimlonga kutoka Ipalalyu Mitundu Manyoni Mkoani Singida. 


Wimbo unaitwa Ntemi Wise na video hii imeongozwa na Manwell kutoka Hardtone Studios Kahama Mjini. Huu ni Wimbo wa wafugaji wa ng'ombe wakiomba wapewe haki zao. 

Tazama hapa chini


Theme images by rion819. Powered by Blogger.