Habari  kutoka Singida ni kwamba mabasi mawili ya kampuni ya City Boys yamegongana katika eneo la Maweni.


Taarifa  zinasema kuwa watu 29 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.


SOMA HABARI KAMILI <<HAPA>>