Angalia Picha!! Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Awaapisha Wakuu wa Wilaya za Kishapu,Kahama na Shinyanga


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck leo amewaapisha wakuu wa wilaya ya Shinyanga,Kishapu na Kahama tayari kuanza kutekeleza majukumu yao siku chache baada ya kuteuliwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Zoezi la kuapishwa kwa wakuu hao wa wilaya ambao ni Josephine Matiro (Wilaya ya Shinyanga),Fadhili Nkulu (Kahama) na Nyambonga Daudi Taraba (Kishapu).

Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Shinyanga na wilaya wa serikali,vyama vya siasa,madhehebu ya dini na wadau wamehudhuria hafla hiyo.

Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog ,Kadama Malunde ametuletea picha kilichojiri...
 
 Wakuu wa wilaya wakiwa ukumbini,wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Kishapu,katikati ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro na wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu

Kulia ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Daudi Taraba akiapa mbele ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck

Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Daudi Taraba akiapa

Nyambonga Daudi Taraba akisaini hati ya kiapo

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck akisaini hati ya kiapo

Viongozi wa ngazi ya halmashauri na wilaya wakiwa ukumbini

Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa na wilaya wakiwa ukumbini

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu  Taleck akimkabidhi vitendea kazi mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Daudi Taraba

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akishikana mkono na mkuu wa wilaya ya Kishapu


Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga Albert  Myovela akizungumza ukumbini

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa na meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafeez Mukadam wakiwa meza kuu

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck akizungumza baada ya kuwaapisha wakuu wa wilaya

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck aliwasisitiza wakuu hao wa wilaya kufanya kazi kwa kujituma

Tunafuatilia kinachoendelea ukumbini

Tunafuatilia kinachoendelea

Wakazi wa Shinyanga wakiwa ukumbini

Viongozi wa madhehebu ya dini wakiwa ukumbini

Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa ukumbini


Tunafuatilia kinachoendelea







Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu akizungumza baada ya kuapishwa


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akizungumza baada ya kuapishwa

Matiro akizungumza

Tunafuatilia kinachoendelea

Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkulu na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro wakiwa ukumbini


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck akiteta jambo na aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela ambaye ni mkuu wa mkoa wa Mwanza



Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyambonga Daudi Taraba akizungumza baada ya kuapishwa



Aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela akizungumza wakati wa kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck

Aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela akizungumza wakati wa kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck





Aliyekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mongela akikabidhi nyaraka za ofisi  kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck

Afisa Uhamiaji mkoa wa Shinyanga Annamaria Yondani akifurahia jambo ukumbini


Wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu

Mkuu wa wilaya ya Kahama akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu

Mkuu wa wilaya ya Kishapu akiwa katika picha ya pamoja na meza kuu.
 
Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post