Wasukuma Mpoo?? Angalia Video ya Juma Kairo Ft Bhung'ando- Harusi ya Mbaga na Donald
Tuesday, June 28, 2016
Ninayo hapa video kali ya wasanii wawili wa nyimbo za asili kutoka mkoa wa Shinyanga Juma Kairo na Bhung'ando maarufu Ng'wana Kang'wa,wimbo unaitwa harusi ya Mbaga na Donald..ni wimbo mzuri sana mtu wangu...wameimba kwa lugha ya Kisukuma.
Tazama Video hii hapa chini
Kumbuka Malunde1 blog inajali wasanii wa nyimbo za asili na wapenzi wa nyimbo za asili..Tazama zingine <HAPA>
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin