TAZAMA VIDEO YA MANJU WA KISUKUMA "ITENDELE MCHENYA" -INAITWA HARUSI YA MZEE HESA MAKENZA,NI KALI BALAA


Ni Weekend Nyingine Mpenzi Msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa Nyimbo za Asili tunakutana kwa ajili ya kupeana nyimbo za asili..Leo Nakukutanisha na Manju Itendele Mchenya anayeimba kwa kutumia lugha ya Kisukuma..Wimbo Unaitwa Harusi ya Mzee Hesa Makenza..Ameamua Kutunga wimbo kwa ajili ya wanandoa ...Ni Video nzuri iliyobeba ujumbe mzuriTazama Video Hii Hapa Chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post