TAZAMA VIDEO YA MSANII WA NYIMBO ZA ASILI- NG'WANA ISHUDU WIMBO UNAITWA "KUMBUKUMBU"
Kama kawaida ya Malunde1 blog kukuleta nyimbo za asili kila weekend..leo tunakukutanisha msanii Ng'wana Ishudu kutoka Ilola Shinyanga vijijini...wimbo unaitwa Kumbukumbu...ni video nzuri
Tazama Video hapa Chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553