HII HAPA NGOMA LIVE "MBINA" YA MANJU POLOSHO MYOGELA KUTOKA KAHAMANi kawaida ya Malunde1 blog kukuletea nyimbo za asili kila weekend,leo tunakuletea Ngoma ya asili kutoka kwa manju maarufu kwa jina la Polosho Myogela kutoka kijiji cha Ng'wambiti kata ya Kashishi wilaya ya  Kahama mkoani Shinyanga.Ngoma "Mbina" hii imechezwa Live Uwanjani...Hakika utaifurahia...Ni dakika 20 tu


Tazama Ngoma Hii Hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post