Nyimbo za Asili Raha!! NIMEKUWEKEA HAPA VIDEO KALI YA MSANII SONGAMALA KUTOKA KAHAMA- Wimbo unaitwa NG'WANAJUMA...
Tuesday, November 03, 2015
Nyingine hii hapa!! Video mpya ya msanii Songamala kutoka Kahama ambaye ni msanii wa Nyimbo za asili,wimbo unaitwa Ng'wanajuma....Angalia hapa chini,ni burudani mwanzo mwisho
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin